Akili ni kitabu kisomwacho usiku na mchana
Kila siku funua upate wako uelewaji
Kitabu hiki kigumu
Sababu kina kurasa nyingi
kuza stadi na maarifa
Kwa kushika yaliyomo.
If you want to succeed in your life, don't be lazy in thinking and take steps on your here and now.
By Sir Lalian Mwittah,
No comments:
Post a Comment