Wednesday, 24 August 2016

Wapenzi Wa Jinsia Moja Wajifungua Watoto Watatu(3).

Wapenzi wa jinsia moja 'wajifungua' watoto 3.Wapenzi  hao wawili wa jinsia moja nchini Afrika Kusini wanaaminika kuwa wa kwanza duniani kujifungua watoto watatu kutoka kwa vinasaba vya DNA vya wanaume hao wawili ,kulingana na jarida la Gay Times. Mnamo mwezi Julai mama aliyebeba mimba ya watoto hao ambapo wawili ni mapacha alijifungua, kitendo kisicho kuwa cha akawaida. Jarida hilo linasema kuwa kwamba wapenzi hao wa jinsia moja walikutana na mama aliyebeba mimba hiyo kupitia mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius ambaye ni jirani wao. Christo na Theo Menelaou walikutana na mama aliyebeba mimba hiyo katika sherehe ya kuwaleta pamoja marafiki na ndugu za Oscar Pistorius baada ya kesi ya mwanariadha huyo .
Source BBC, August 23th,2016.

No comments: