#TAARIFA KWA UMMA Baada ya kumalizika kikao cha kamati kuu ya Chama cha ACT Wazalendo kilichofanyika leo septemba 05/2016 jijini Dar es salaam.
#Kesho Jumanne Septemba 06/2016,Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo watakutana na waandishi wa habari na kuelezea masuala mbali mbali muhimu yanayoendelea sasa ikiwemo:
• Hali ya Uchumi wa Taifa
• Hali ya Kisiasa ya Taifa
• Hatari ya Kuvunjika Kwa Umoja wa Kitaifa.
#Wapi:
Makao Makuu ya ACT wazalendo yaliyopo Sayansi Kijitonyama jirani na Kanisa la KKKT
#Muda:
Saa tano kamili asubuhi (11:00am)
#Kuhusu taaarifa zilizosambaa za Prof. Lipumba kujiunga na chama hicho, ACT- Wazalendo wamesema kuwa hawana taarifa yoyote ya Prof. Lipumba kujiunga na chama hicho na pia kikao cha leo hakihusiani na ajenda yoyote ya kupokea wanachama.
#Muhimu kuzingatia muda Abdallah Khamis Afisa Habari 0655549154
No comments:
Post a Comment