Wednesday, 21 September 2016

Vyakula Muhimu Kwa Wadada.

Vyakula vinavyo faa kuliwa na wanawake waliokuwa period,Katika kipindi cha mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini. Hali hiyo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe bora na ya kutosha.

Sasa ili kuzuia upungufu wa damu na madini mwilini, msichana anatakiwa kula vyakula vyenye madini chuma na chokaa kwa wingi ikiwa ni pamoja na hivi vifuatavyo:-

Orodha ya vyakula     vinavyopendekezwa,

√Mboga za majani
√Maharage
√Soya
√Samaki
√Maziwa
√Korosho
√Mayai
√Dagaa n.k.

Mbali na vyakula hivyo, pia mwanamke huhitaji kuzingatia hali ya usafi wa mwili, hasa sehemu za siri . Tumia vitambaa safi vilivyo nyooshwa kwa pasi au pedi zilizohifadhiwa katika hali ya usafi.

© 2016 all rights reserved


No comments: