Wednesday, 7 September 2016

Taarifa: Wenye Majina Haya Wanahitajika Mahakama Ya Tanzania.

Tunaomba kutoa taarifa kuwa, wenye majina na anuani hapo chini ambao ni watumishi/walikuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanahitajika kupata taarifa muhimu na maalum juu ya masuala yahusuyo Utumishi wao: Wafike na kuonana na Bibi. Agatha Ng’ingo – Mkurugenzi Msaidizi- Idara ya Utawala na Utumishi, namba ya simu (0673 – 001 773) ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

S/N JINA KAMILI CHEO KITUO CHA KAZI

C/N 1 BW. ROBERT WILLIAM CHAGAKA DEREVA II MAHAKAMA YA WILAYA IRAMBA 111824992

2 BW. GODLISTEN MOSES MWANRI DEREVA II MAHAKAMA YA WILAYA KISHAPU 111827839

3 BI. AGNES AUDAX RWEGOSHORA HAKIMU MKAZI II MAHAKAMA YA MWANZO UJIJI KIGOMA 111838464

4 BI. HAPPINESS ELIAS MISHWARO HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO MWANDAMIZI MAHAKAMA YA WILAYA MBARALI 10915901

5 BW. BARAKA JAFARI MUKAMA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II MAHAKAMA YA WILAYA ILALA 9927780

6 BW. RAMADHANI MOHAMED KILYOUSUNGU MLINZI MAHAKAMA YA WILAYA RUFIJI 9496501

7 BI. REHEMA SAMWEL PANDAPANDA HAKIMU MKAZI II MAHAKAMA YA WILAYA MPWAPWA 9927919

8 BI. HAWA GODREY MKUMBO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II MAHAKAMA YA WILAYA KASULU 8203232

9 BW.CHRISTINA JOHN MAYILA MSAIDIZI WA OFISI MWANDAMIZIMAHAKAMA YA WILAYA KAHAMA 7758540

10 BW. YASSINI WAZIRI MASELE MLINZIMAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI SINGIDA111400187

11 BW. JOSEPH FRANCIS BOMA MLINZIMAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI SINGIDA 111397724

12 BW. BRUTON RABIEL KIMARO MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU IIMAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MANYARA7203497

13ABIHUDI GILLIARD MASEUMSAIDIZI WA KUMBUKUMBU IIMAHAKAMA KUU ARUSHA 5187924

14 HUSSEIN HASSAN BACHOO AFISA UGAVI IDAR ES SALAAM 5529186

15 ASHA MAGOMBA ABDALLAHMSAIDIZI WA KUMBUKUMBU IIMAHAKAMA YA WILAYA MONDULI 111827925

16BW. AMRI MUSSA RASHIDIMLINZIMAHAKAMA YA WILA YA TANDAHIMBA 9544435

Imetolewa na, MTENDAJI MKUU.

No comments: